Sports
TUSITUKANANE WALA KUBAGUANA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA- NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko amesisitiza kuwa Bonanza la Bunge liwe chachu ya kuwakumbusha...
MAHAKAMA YAAMURU AZAM MEDIA KUMLIPA BONDIA MWAMAKULA MIL. 250
Bondia Mtanzania Amosi Mwamakula ametakiwa kulipwa Fedha za Kitanzania Tsh. Milioni 250 na Kampuni ya Azam Media Limited baada ya...
TANZANIA YAZIDI KUNG’ARA FEASSA 2024
Timu za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya shule za msingi na sekondari kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSA 2024) zimeendelea kufanya...
DIWANI CUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO MAKOLE JIJINI DODOMA.
Uzinduzi wa Diwani Cup umefanyika Kata ya Makole Jijini Dodoma. Mashindano hayo ya Mpira wa Miguu ambayo yanafadhiliwa na Diwani...
CRDB BUNGE BONANZA YANG’ARA JIJINI DODOMA
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameshiriki Bonanza la CRDB BUNGE Grand Bonanza lililofanyika katika Viwanja vya...
YANGA SC MABINGWA KWA MARA NYINGINE WA NBCPL 2023/2024
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania bara maalufu NBC Premier league mara baada ya kujikusanyia...
WATUMISHI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO WAENDELEA KUTEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA VITENDO
WATUMISHI wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wameendelea kutekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
TANESCO YATWAA VIKOMBE VITANO MASHINDANO YA MEI MOSI 2024
Timu za Shirika la umeme Tanzania (TANESCO SC) zimefanikiwa kutwaa makombe matano kwenye mashindano ya michezo ya Mei Mosi 2024...