News
KARATU WACHANGAMKIA MAJIKO YA RUZUKU
Wananchi Wilayani Karatu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na Serikali kwa...
ELIMU YA UBORESHWAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA PIGA KURA YATOLEWA MAKUYUNI
Wakazi wa Makuyuni Wilayani Monduli mkoani Arusha wakipatiwa vipeperushi vyenye ujumbe kuhusu oboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura...
RAIS WA KENYA AFUNGUKA MASHINDANO YA MICHEZO YA MABUNGE – MOMBASA
Rais wa Kenya, Mheshimiwa William Ruto ametoa pole kwa Bunge la Tanzania kwa ajali ya basi iliyowahusisha Waheshimiwa Wabunge wakati...
DKT. KIRUSWA ATATUA MGOGORO WA WACHIMBAJI LONGIDO
Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Steven Kiruswa ametatua mgogoro wa wachimbaji wadogo wa Madini ya Ruby Wilaya ya Longido...
VITA YA MADARAKA YAKOLEA TUNDU LISSU NA MBOWE
Chadema, chama kinachojinasibu kuwa nembo ya demokrasia na mshikamano, kwa sasa kimegubikwa na mgogoro mkubwa wa uongozi kati ya mwenyekiti...
DUWASA YAANZA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA MAJI ILIYOSOMBWA NA MAFURIKO
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) leo Disemba 07,2024 imeanza kazi ya dharura ya urejeshaji wa miundombinu...
WATUMISHI REA WATAKIWA KUFANYA KAZI KUENDANA NA KASI YA SERIKALI
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na...
HALMASHAURI ZENYE MIRADI ZIHAMASISHE WANANCHI KUITUMIA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Festo Dugange amezitaka halmashauri zenye miradi yenye kujiendesha kama masoko na stendi kuhakikisha...
TIMU YA MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH 2024 WATEMBELEA MATI SUPER BRANDS
Timu ya Majaji wa Shindano la kusaka vipaji Bongo Star Search 2024 wametembelea Kiwanda cha Mati Super Brands LTDambao ndio...