CRDB BUNGE BONANZA YANG’ARA JIJINI DODOMA

0

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameshiriki Bonanza la CRDB BUNGE Grand Bonanza lililofanyika katika Viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma leo 22 Juni, 2024.

Bonanza hilo limeongozwa na Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson

Katika Bonanza hilo kumeshuhudiwa michezo mbalimbali ikiwemo Mpira wa Miguu, Mpira wa Pete, Kufukuza Kuku, kupokezana vijiti, kula, kunywa soda, kukimbia na magunia, mbio za riadha na michezo mingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *