NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AKIWASILI NA KUPOKELEWA KATIKA OFISI ZA WIZARA MTUMBA JIJINI DODOMA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera akiwasili na kupokelewa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara wa Wizara hiyo Bw. Needpeace Wambuya pamoja na Menejimenti na Watumishi katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba Dodoma Disemba 19, 2024.