Diwani wa Mchikichini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nurdin Juma (Shetta) amechaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam.
Shetta amepata kura 24 akimshinda Diwani wa Kata ya Segerea, Robert Manangwa aliyepata kura 21.