WATANZANIA MIL. 31.2 KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2024
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya watanzania 31,282,331 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa...
KONGAMANO LA KIMATAIFA LA JOTOARDHI LAANZA KWA MAFANIKIO
Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kwa mafanikio jijini Dar es Salaam ambapo Wataalam takriban 800 kutoka 21...
BILIONI 14 KUFANIKISHA MPANGO KUWA WATAALAMU BIGWA KATIKA SEKTA YA AFYA
SERIKALI kupitia Mpango wa Ufadhili wa Masomo ujilikanao kama Samia Health Specialization Scholarship Program, imetenga kiasi cha Sh. bilioni 14...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI
Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony...
MIFUMO YA TAASISI 7 ZA SERIKALI IMEANZA KUSOMANA
Katika mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window -...
TARURA YAKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MSADYA, KATAVI
Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita...
ESTHER MATIKO; JASIRI WA KITAIFA NA KIMATAIFA/ MTETEZI WA MATATIZO YA TARIME MJINI
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Nicholas Matiko, amedhihirisha na kuthibitisha kuwa ni jasiri na shujaa katika siasa, uongozi na...
TANZANIA INAVYOONGOZA KATIKA KUPAMBANA NA UMASKINI AFRIKA
Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), Tanzania inajitokeza kuwa kielelezo cha matumaini na maendeleo. Kwa mujibu wa...