TANZANIA YAANZA UZALISHAJI WA VIPURI VYA MIGODINI NA VIWANDANI
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya uzalishaji wa vipuri vya migodini na viwandani, baada ya Kiwanda cha kisasa cha...
TRILIONI 6 ZIMETOLEWA KWENYE MIRADI CHINI YA TAMISEMI MIAKA 3 YA RAIS SAMIA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imetoa fedha...
WAZIRI MWIGULU ATOA MAAGIZO KWA BODI YA WAKURUGENZI PPRA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameiagiza kuiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa...
NAIBU WAZIRI SANGU AITAKA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO KUWAUZA VIJANA WABUNIFU WA TEHAMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu ameitaka Mamlaka ya Serikali...
REA YAENDELEA KUTEKELEZA KWA VITENDO MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya Serikali pamoja na Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya...
WASICHANA 4,843 WAMERIPOTI KWENYE SHULE MAALUM ZA SAYANSI ZA MIKOA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mpaka kufikia leo ...
PICHA: UZINDUZI WA SHULE YA WASICHANA YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo...