DC MANYONI AWEKA MIKAKATI MIKOPO YA ASILIMIA 10
Imeelezwa kuwa Viongozi kujinufaisha fedha za mikopo zilizokuwa zikitolewa na Serikali ndio sababu ya kukwama kwa Mikopo ya Asilimia 10...
DKT.BITEKO AKIMBIA MBIO FUPI KILOMETA 3.3 WILAYANI BUKOMBE
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati (Mbunge wa Jimbo la Bukombe) Mkoani Geita ,Dkt. Dotto Mashaka Biteko ahsubuhi ya...
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu...
VIJANA ACHENI NONG’WA WENZENU WANAPOFANIKIWA
Mwenyekiti wa wachimbaji madini vijana Taifa Hamis Mohamed amesema serikali imeandaa mipango madhubuti ya kuwakomboa vijana kiuchumi kwa kusimama wao...
WAKAZI DAR ES SALAAM YA KUSINI WAPEWA UHAKIKA MAJISAFI IFIKAPO DISEMBA 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) ameridhishwa na kasi ya utekelezaji...
WIZARA YA MAJI NA BENKI YA MAENDELEO UJERUMANI KUENDELEZA USHIRIKIANO KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika...
DKT MPANGO AIPA HEKO TANROADS//AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi...
RAIS SAMIA APONGEZWA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA AFYA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa...