DKT. DIALLO AWATAKA WAKULIMA WILAYANI NGARA KUTUMIA MBOLEA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Diallo amewataka wakulima mkoani Kagera...
WAZIMBABWE WATUA NCHINI KUJIFUNZA MFUMO WA NeST.
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ya Zimbabwe (PRAZ) imeingia nchini kupata uzoefu wa uendeshaji wa michakato ya Ununuzi...
VITUO NANE VYA AFYA VYAJENGWA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA
Na. Mwandishi Wetu, DODOMA Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeshuhudia ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya afya nane katika...
KALABA HAJAFARIKI, TAARIFA MPYA YATOLEWA
Taarifa kumuhusu Mchezaji wa zamani wa klabu ya TP mazembe na timu ya taifa ya Zambia Rainford Kalaba aliyeripotiwa kufariki...
KALABA WA TP MAZEMBE AFARIKI DUNIA
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zambia na TP MAZEMBE Rainford Kalaba (37) amefariki dunia baada ya kupata...
SPIKA DKT. TULIA AWAONGOZA WASHIRIKI BUNGE MARATHON
Ashiriki katika mbio za km 5Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), mgeni rasmi katika mbio za Bunge Marathon...
AZANIA BANK WAIPAMBA BUNGE MARATHON
Viongozi na wafanyakazi wa Azania Bank wameshiriki Mbio za Bunge Marathon zilizofanyika leo 13 April, 2024 kuanzia Viwanja vya Jamhuri...
MZUMBE WAFANYA UTAFITI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
Na. Noel Rukanuga - DSM Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na Baraza la Utafiti wa Sayansi ya Binadamu (HSRC) kutoka...
MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA NA MABADILIKO CHANYA SEKTA YA KILIMO DODOMA
Miaka 3 ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt, Samia SuluhuHassan imetajwa kuleta mabadiliko chanya katika eneo...