RAIS SAMIA AWASILI MWANZA KWA KISHINDO
Ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo...
RAIS SAMIA AWAPA FURAHA WAKULIMA WA KOROSHO KILO 1 YAFIKA TSH 4120
Mnada wa kwanza wa korosho kwa msimu wa 2024-2025 umefanyika kupitia chama kikuu cha ushirika cha TANECU kinachohudumia wilaya ya...
MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA BILIONI 143 TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi la mradi...
DKT. BITEKO ASHIRIKI ZOEZI LA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amewataka wakazi wa wilaya ya Bukombe Mkoani Geita kujitokeza kwa...
TUSIPOJIANDIKISHA WATACHAGULIWA VIONGOZI WASIOFAA
Ikiwa zoezi la kujiandikisha katika daftari la Makaazi limeanza leo nchini Tanzania Wananchi katika maeneo mbalimbali wamejitokeza katika zoezi hilo....
MAHAFALI YA KUMI NA NANE YA SHULE YA KINANA SEKONDARI, ARUSHA
Katika mahafali ya kumi na nane ya Shule ya Sekondari Kinana iliyopo mkoani Arusha, kata ya Murieti, Mbunge wa Arusha...
DC MANYONI AWEKA MIKAKATI MIKOPO YA ASILIMIA 10
Imeelezwa kuwa Viongozi kujinufaisha fedha za mikopo zilizokuwa zikitolewa na Serikali ndio sababu ya kukwama kwa Mikopo ya Asilimia 10...