MWANASHERIA WA YANGA AISHAURI MAZITO SERIKALI NA TFF MBINU ZA KUWA NA TIMU BORA YA TAIFA YA MPIRA
Anaandikia @simon.esqHongereni sana @taifastars_ , binafsi siwadai, matokeo haya ndio kipimo chetu cha uwekezaji wetu kwenye soka. Kwa maslahi mapana...