TUENDELEE KUELIMISHA WAKULIMA JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI”
Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe Kemirembe Lwota alipokuwa kwenye hafla ya Uzinduzi wa matumizi ya mfumo...
GAMONDI AGOMA KUWATUMIA AKINA PACOME.
Kocha Mkuu wa Yanga Sc Muargentina Miguel Gamondi amesema katika Wachezaji wake watatu wenye majeraha kuna mmoja ndo anaweza kumtumia...
MAYELE ATIMKIA SIMBA
Mshambuiaji wa Pyramids FC ya Misri, Fiston Kalala Mayele leo ametembelea kambi ya Simba SC Jijini Cairo ikijiandaa na mchezo...
WANANCHI WATAKIWA KUENZI NA KUENDELEZA FIKRA NA FALSAFA ZA KARUME
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuzienzi na kuziendeleza fikra...
TARURA YADHAMIRIA KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA KWA 85%
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ina lengo la kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika kwa asilimia 85 ili...
WATEJA DUWASA WAFURAHIA OFA YA SIKU 30 YA RAIS SAMIA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imeendelea kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA EITI
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya kikao kifupi na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI Rt. Helen Clark...
MAMENEJA WA MKOA TANESCO KUPIMWA KWA MATOKEO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha...
MCHENGERWA ATOA MIL.40 KUSAIDIA WANANCHI WA RUFIJI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la...