TANZANIA MLANGO WA MATAIFA MENGINE KUJIFUNZA UCHIMBAJI MDOGO
Ikiwa ni Miaka Minne ya Rais Samia Madarakani, Tanzania imefanikiwa kuwa kivutio cha mataifa mengine Barani Afrika kujifunza kuhusu shughuli...
MUWSA KINARA WA TUZO ZA EWURA KWA MWAKA 2023/2024
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) mkoani Kilimanjaro imeshinda Tuzo Mbili zinazotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa...
MAENEO YA KIJAMII YAMEPEWA KIPAUMBELE KUFIKIWA NA UMEME – KAPINGA
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini umetoa kipaumbele kwenye maeneo yanayotoa huduma za...
WANANCHI NJOMBE WAIOMBA TANESCO, REA KUONGEZA KASI YA KUWAUNGANISHIA UMEME
Wananchi wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAHITIMISHA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA UMEME NJOMBE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekamilisha ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe kwa kukagua utekelezaji...
SERIKALI KUTUMIA 174.36 MILIONI KUANZISHA MRADI WA MAZIWA KATIKA MIKOA 10
Dodoma.Katika kuendeleza na kufanya juhudi za kuimarisha na kuweka mikakati bora ya kukuza tasnia ya Maziwa nchini serikali imetambulisha Mradi...
AWESO AKAGUA UTEKEZAJI WA MRADI WA MAJI WA BANGULO
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekagua kituo (pampu) cha kusukuma maji Kibamba mkoani Dar es Salaam ambacho ni sehemu ya...
MCHENGERWA AMTAKA MKANDARASI WA DARAJA LA MBAMBE KUONGEZA KASI YA UJENZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATOA PONGEZI KWA REA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. David Mathayo David, akiambatana na...