VYAMA VYA SIASA VYASAPOTI KANUNI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Vyama vya siasa vimeunga mkono rasimu ya kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, ambapo...
MTAMBO WA NANE JNHPP WAKAMILIKA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa...
DAWASA YAJA NA SULUHISHO LA KUDUMU KWA WAKAZI WA SINZA C NA D
Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao kufuatia...
SPIKA DKT. TULIA ATOA MSAADA KWA BINTI MWAJUMA MASENGO – RUVUMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia...
BODI YA REA YAZURU KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIFAA VYA UMEME
Jenipher Jamal – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ikiambatana na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametembelea kiwanda...
MAWAZIRI PROF. KITILA NA BASHE WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITATU UWEKEZAJI MKULAZI
Imeelezwa kuwa viwanda vingi hapa nchini vimekuwa vikijiendesha kwa kutumia malighafi zitokanazo na bidhaa za kilimo, mifugo, uvuvi na misitu...
RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA
Na Mathias Canal, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati...
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litaokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kila mwaka baada ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha...
BILIONI 136.2 ZIMETUMIKA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU BARABARA NA MADARAJA
Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini...