News
UWT, WABUNGE KUFANYA TATHMINI ONGEZEKO LA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Marry Chatanda, amezindua kampeni ya msaada wa Kisheria inayotekelezwa na...
MBUNGE OLE LEKAITA AMPA TANO RAIS SAMIA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KITETO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
USHIRIKI WA TAWA MAONESHO YA UWINDAJI WA KITALII ABU DHABI KUZAA MATUNDA
Maonesho ya Kimataifa ya Uwindaji wa Kitalii yanayojulikana kwa Jina la "Abu Dhabi International Hunting and Equestrian Exhibition - ADIHEX...
TMA YAWAKUMBUSHA WAHANDISI KUZINGATIA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Wahandisi nchini wamekumbushwa umuhimu wa huduma za hali ya hewa sambamba na kuchangia gharama za upatikanaji wa huduma hiyo katika...
TANZANIA NA UINGEREZA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo...
UADILIFU NI MSINGI WA USALAMA WA TANZANIA: NAIBU WAZIRI SANGU
Septemba 5, 2024 “Tuwawajibishe au kuachana na watumishi wasiokuwa waadilifu kwa kuwa sisi ndio tunaotakiwa kusimamia uadilifu lakini miongoni mwetu...
WAZIRI AWESO HUDUMA YAKUUNGANISHA MAJI IWE KWA SIKU 7
Waziri Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewasisitiza watendaji wa sekta ya maji kuacha kukaa ofisini na badala yake kwenda kutatua...