USHIRIKIANO TANZANIA NA IFAD KUJENGA UCHUMI SHINDANI WA VIWANDA
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb.), amekutana na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe....
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kiongizwa na mwenyekiti wake Mhe Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Mamlaka...
Waziri wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (mb) ametembelea mradi wa Umwagiliaji wa Nyida uliopo mkoani Shinyanga wa Tume ya Taifa...
SERIKALI imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema safari za treni za Reli ya Kisasa (SGR) zinazotumia...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira mapema leo imewasili mkoani Tanga kwa kazi ya kukagua utekelezaji wa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko amesafiri kwa treni ya mwendokasi maarufu kama SGR, asubuhi ya...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia...