News
MHANDISI SAMAMBA AWASISITIZA MAAFISA MADINI KUSIMAMIA USALAMA WA MIGODI HASA KATIKA MSIMU HUU WA MVUA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Ismail Samamba amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuweka nguvu kwenye usimamizi...
WAZIRI CHANA ASISITIZA MIKAKATI ENDELEVU KUKUZA SEKTA YA UTALII NA UKARIMU
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amesisitiza umuhimu wa kuwa na mikakati endelevu katika kukuza Sekta...
WAZIRI MAVUNDE AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA MADINI KUTOKA FINLAND KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amewakaribisha jumuiya ya wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Finland kuwekeza kwenye sekta ya madini kwa...
WAZIRI SILAA AFUNGUA MILANGO YA USHIRIKIANO KWA CoRI KUJADILI MASUALA YA SEKTA YA HABARI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa...
DAWASA NI TAASISI YA MFANO UTEKELEZAJI MAAGIZO YA VIONGOZI – DC BULEMBO
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Halima Bulembo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)...
ATUPWA JELA MAISHA KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 8
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba Mkoa wa Mwanza imemhukumu kifungo cha maisha jela Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha...
RAIS SAMIA AMEANDIKA HISTORIA KWA TAIFA
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja,...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI ZAIDI YA 19,000 MBEYA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Rodrick Mpogoro ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuingia mkataba na mtoa huduma...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI ZAIDI YA 19,000 MBEYA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Rodrick Mpogoro ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuingia mkataba na mtoa huduma...