News
TMDA YAIPONGEZA NHC KWA UJENZI WA KIWANGO BORA NA KWA WAKATI DODOMA
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Erick Shitindi, ameipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)...
DKT. BITEKO KUFUNGUA MKUTANO WA WATAALAMU WA MIONZI BARANI AFRIKA
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Jumanne Oktoba 8, 2024 amewasili...
RAIS SAMIA AIWEZESHA REA KUTOA RUZUKU BEI MITUNGI YA GESI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya bei kwenye mitungi ya gesi...
NAIBU WAZIRI KAPINGA ASHIRIKI JUKWAA LA MAWAZIRI NCHINI AFRKA KUSINI
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium) nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu Kongamano...
POSTA YATAKIWA KUHAKIKISHA MIFUMO YAKE YA UTENDAJI INASOMANA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amelitaka Shirika la Posta Tanzania kuhakikisha mifumo...
DKT. TULIA NA RAIS WA HUNGARY WAJADILI HALI YA AMANI DUNIANI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia...
BASHUNGWA APIGA MARUFUKU KUZIDISHA ABIRIA NA UZITO KWENYE VIVUKO
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) pamoja na vyombo vingine vya usafiri ndani ya...
WIZARA YA MADINI, FARU GRAPHITE WAJADILI CHANGAMOTO ZA MAENDELEO YA MRADI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Oktoba 07, 2024 aliongoza kikao kati ya Wizara na Kampuni ya Faru Graphite Corporation...
HABARI ZA MAGAZETI LEO OKTOBA 8, 2024
https://youtu.be/qcfKvu2gJ0