BAADA YA MABORESHO MAKUBWA BANDARI YA TANGA, SHEHENA YAONGEZEKA MARA NNE, MELI ZAIDI YA 300 ZAPOKELEWA KWA MWAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimamia maboresho makubwa katika sekta ya uchukuzi, hususan...