News
HOJA BILA USHAHIDI NI NJAMA ZA KUPOTOSHA
Maria Sarungi amekuwa akitoa madai ya kupotosha kuhusu kutekwa kwake, akidai kuwa serikali ya Tanzania imehusika. Lakini hakuna ushahidi wowote...
UKOSEFU WA ARV NA CHANJO WAZUA HATARI KUBWA KENYA
Kenya, ambayo hapo awali iliheshimiwa kama kitovu cha huduma za afya kanda ya Afrika Mashariki, sasa inakabiliwa na janga la...
SUZAN LYIMO MWENYEKITI MPYA BARAZA LA WAZEE CHADEMA
Wajumbe wa Baraza la Wazee Bazecha limemchagua, Suzan Lyimo kuwa mwenyekiti mpya wa baraza hilo kwa kipindi cha miaka mitano...
RAIS SAMIA AWEKA REKODI MBILI CCM KATIKA HARAKATI ZA KUWAWEZESHA WANAWAKE KISIASA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa mstari wa mbele katika kuwawezesha wanawake kushiriki kikamilifu katika uongozi na maamuzi ya kitaifa tangu...
KAMATI YA BUNGE NISHATI NA MADINI KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI ZAMBIA
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiongozwa na Mbunge wa Geita Mjini anayemwakilisha...
WANANCHI VIJIJINI WAHIMIZWA KUTUMIA UMEME KUJILETEA MAENDELEO
Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Mhe. Mohamed Mtulyakwaku amewataka wananchi waliofikiwa na miradi ya umeme vijijini kuhakikisha wanaunganisha nyumba zao...
DAWASA, WANANCHI MSHIKAMANO WAJADILIANA UPATIKANAJI MAJI
Serikali kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imesema inaendelea na mchakato wa manunuzi ya pampu zitakazosaidia kuongeza...
TANZANIA YAIPIKU KENYA KIUCHUMI KAMA KINARA AFRIKA MASHARIKI
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo...
MATUMIZI YA BARUTI YAONGEZEKA NCHINI
MATUMIZI ya Baruti nchini yameongezeka kutoka wastani wa tani 3,000 kwa mwaka katika miaka ya 1990 hadi kufikia wastani wa...