uhondoHQ
DKT. SERERA: FANYENI KAZI KWA USHIRIKIANO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera ametoa wito kwa Watumishi wa Wizara hiyo kufanya...
DKT. KIJAJI AWACHARUKIA WAZALISHAJI, WAUZAJI NYENZO ZA UVUVI HARAMU
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameagiza kufungwa kwa viwanda na maduka yote yanayojihusisha na Nyavu zisizofaa...
DKT. KIRUSWA ASISITIZA MRADI WA KUDU GRAPHITE KUANZA KWA WAKATI
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesisitiza kuanza kwa wakati kwa Mradi wa Uchimbaji Madini ya graphite (kinywe) na...
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TISA AFRIKA KWA POLISI WENYE WELEDI
Tanzania imepata mafanikio makubwa kwa kushika nafasi ya tisa kati ya mataifa bora Afrika yenye vikosi vya polisi vilivyo na...
KAMISHNA MKUU WA TRA ATOA TUZO YA HESHIMA KWA MATI SUPER BRANDS LTD
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda ametoa Tuzo ya heshima kwa Kampuni ya uzalishaji wa vinywaji...
MOROGORO DC WATAKIWA KUANDIKA ANDIKO UJENZI WA STENDI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemwelekeza mkurugenzi wa Halmashauri ya Mvomero mkoa wa Morogoro kuandika andiko maalum...
NHC YAPEWA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA WA NYUMBA BORA ZA MAKAZI
Shirika la Nyumba la Taifa - NHC limepewa tuzo ya mshindi wa kwanza wa nyumba bora za makazi kwa mwaka...
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AKIWASILI NA KUPOKELEWA KATIKA OFISI ZA WIZARA MTUMBA JIJINI DODOMA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera akiwasili na kupokelewa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara...
PROF. LIPUMBA ASHINDA TENA UENYEKITI CUF
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Lipumba ametetea kwa mara nyingine tena nafasi yake ya Uenyekiti baada...