uhondoHQ
RAIS SAMIA AONGOZA MAGEUZI YA KIUCHUMI NCHINI
Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa...
TANESCO TEMEKE NA ZECO WAUNGANA KUSHIRIKI MICHEZO KUIMARISHA UMOJA
Timu ya Mpira wa Miguu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke imetoa sare ya bao moja kwa moja...
NYOTA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO, IJUE KWA NJIA HII!
Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika...
WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye...
MCHUNGAJI AFARIKI KWA KUPIGWA TEKE NA MWENYE MAPEPO
Ibada ya mkesha wa Krismasi katika Kanisa la Agule Pentecostal Assemblies of God (PAG), Wilaya ya Serere, Uganda, iligeuka kuwa...
MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO MKUU WA MADEREVA BODABODA JIJINI ARUSHA.
Vijana wajasiriamali wanaojishughulisha na Biashara ya usafirishaji wa Abiria kupitia Pikipiki maarufu kama Bodaboda wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano kwenye...
WANANCHI NGOMBO- MALINYI WAOMBA ZOEZI KUWAHAMISHA LISITISHWE
Wananchi wa Kijiji cha Ngombo Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro wemeiomba Serikali ya Wilaya hiyo kusitisha zoezi la kuwaondoa katika...
GAMBO NA KAWAIDA WAONGOZA PARADE YA MAMIA YA ‘BODABODA’ KUELEKEA MKUTANO WAO WA MWAKA
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Mashaka Gambo akiambatana na Comrade Mohammed Kawaida, Mwenyekiti wa Vijana wa Chama...