DUWASA YAHIMIZWA USHIRIKISHAJI WANANCHI KATIKA MIRADI YA MAJI
SPIKA wa Bunge Mstaafu Job Ndugai ameiagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuhakikisha wanashirikisha jamii...
SPIKA wa Bunge Mstaafu Job Ndugai ameiagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuhakikisha wanashirikisha jamii...
Wakulima wanaouza mahindi kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) katika Mkoa wa Songwe wameishukuru na kuipongeza Serikali...
SERIKALI imesema inaendelea na utekelezaji wa miradi ya maji katika maeneo mbalimbali nchini, ambapo kupitia bajeti ya 2024/2025 jumla ya...
Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa amesema Serikali imelitambua deni la Shilingi Bilioni 1.52 lililotokana na mapunjo ya mafao kutoka...
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya...
Wananchi wamesisitizwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia na kuachana na Nishati isiyo kuwa salama ili kulinda afya zao, kutunza mazingira...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko amesisitiza kuwa Bonanza la Bunge liwe chachu ya kuwakumbusha...
Imeelezwa kwamba kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2022 hadi Agosti 2024 , Wizara ya Madini imeendelea kuratibu na kusimamia Masuala...
Tanzania imeeleza mpango na utayari wake katika uendelezaji wa nishati ya nyuklia ikiwa ni moja ya vyanzo mbadala vya nishati...
Walimu zaidi ya 40 kutoka katika shule 20 Wilayani Ludewa Mkoani Njombe, wameanza mafunzo ya mbinu za stadi za kufundisha...