uhondoHQ
SILLO AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUTOA BIL. 9.8 UJENZI BARABARA YA LAMI DAREDA MJINI – DAREDA MISSION BABATI
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo ameishukuru Serikali...
MALU STONCH WA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA
TANZIA Mwanamuziki wa Band ya FM acadia Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa jukwaani a .Tukio hilo limetokea...
WAZIRI NDEJEMBI AKAGUA UKARABATI UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya kikao...
AMCOS LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIPAUMBELE KATIKA UNUNUZI WA MAZAO YAO
Wanachama na viongozi wa vyama vya ushirika (AMCOS) wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuwapa kipaumbele katika ununuzi wa mazao...
YANGA YATAKA UCHUNGUZI GOLI LAO KUKATALIWA, YAWAANDIKIA CAF BARU
Klabu ya Yanga SC ikiwa imepita siku moja tangu itolewe katika michuano ya CAF Champions League hatua ya robo fainali...
WADAU WATOA MISAADA YA KIBINADAMU RUFIJI
Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa...
WAZIRI PROF. MKUMBO AWAONGOZA WATAALAMU WA WIZARA YAKE KUTOA SEMINA KWA KAMATI YA BUNGE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.) akiambatana na Katibu Mkuu Dkt. Tausi...
“MA DAS NA MA-DED WENGI MNADHIBITI BIASHARA NA SIO KUWEZESHA” WAZIRI PROF. KITILA
Waziri Prof. Kitila awataka Makatibu Tawala na Wakurugenzi kuwezesha Ufanyikaji wa Biashara na sio kudhibiti. Waziri wa Nchi Ofisi ya...
SINA MPANGO WA KUONDOKA YANGA – AZIZ Ki
Kiungo wa Yanga SC, Aziz Ki amewaambia mashabiki wa Yanga kwamba hana mpango wa kuondoka Jangwani, kwani kilichomleta kwenye timu...