uhondoHQ
BUNGE LAIDHINISHA TRILIONI 1.97 KULETA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
MAWASILIANO YA BARABARA DAR – LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar...
MCHENGERWA ATAKA HEWA UKAA KUWA CHANZO KIPYA CHA MAPATO YA HALMASHAURI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka...
WIZARA, TAASISI ZAAGIZWA KUZINGATIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI
Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari...
RAIS SAMIA AZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi...
BIL. 322.3 ZATENGWA UNUNUZI WA BIDHAA ZA AFYA NGAZI YA AFYA MSINGI
Kati ya fedha hizo shilingi Bil. 205 ni kwaajili ya ununuzi wa dawa na vitendanishi na shilingi Bil. 117.3 kwaajili...
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA KUPOZA UMEME NA SWITCHING STATION SONGWE
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme itakayoboresha upatikanaji umeme...
NIKO TAYARI KUPOTEZA CHOCHOTE MWANANCHI APATE HAKI – MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Paul Christian Makonda amewahidi wakazi wa Mko wa Arusha, kusimamia haki ya kila mwananchi...
BIL 1.1 ZA TANROADS ZAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA YALIYOSOMBWA NA MVUA ZA EL-NINO – KATAVI
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu...