RAIS SAMIA AWASILI NCHINI CHINA,KUHUTUBIA MKUTANO WA FOCAS

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi wakuu wa nchi za Afrika na China mkutano unaotarajiwa kuaanza tarehe 4-6 Agosti, 2024. Katika ziara hiyo nchini China.

Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Atahutubia ufunguzi wa mkutano wa FOCAC.

Atafanya mazungumzo na Rais China, Mhe. Xi Jinping na kushuhudia uwekaji saini wa Hati za Makubaliano ya Uboreshaji wa Reli ya TAZARA.

Atakutana na makampuni na wawekezaji kutoka China ili kuhamasisha uwekezaji zaidi nchini Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *