MBUNGE TAUHIDA ATEMBELEA VIWANDA VYA NGUO NA VIATU KVZ

0

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Zanzibar Mhe Tauhida Gallos ametembelea Viwanda vya Ushonaji nguo na Viatu vilivyopo Idara Maalum ya SMZ kambia ya Kvz Mtoni na kujionea namna kinavyojiendesha.

Mbunge Tauhida amevutiwa Kwa kiasi kikubwa na uwepo wa Kiwanda hicho hususani Kwa namna kinavyofanya uzalishaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *