DKT. TULIA AWASILI NCHINI URUSI

0

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 10 Julai, 2024 amewasili St. Petersburg nchini Urusi ambapo amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Fredrick Kibuta.

Dkt. Tulia anatarajia kushiriki Mkutano wa BRICS 2024 utakaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 11-12 Julai, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *