MZIZE AWINDWA NA WATFORD YA UINGEREZA

0

KLABU ya WATFORD inayoshiriki ligi daraja la kwanza England 🇬🇧 CHAMPIONSHIP imetuma ofa kwa Uongozi unaomsimamia mchezaji huyo Chini ya wakala anayefahamika kwa jina la JASMINE ili waweze kumsajili katika dirisha linalofuata la usajili.

Mbali na klabu hiyo ya WATFORD timu nyingine iliyotuma ofa ikihitaji kumsajili MZIZE ni FUTURE FC ya EGYPT 🇪🇬.

Leo viongozi wa Yanga walitarajia kukutana na Wakala JASMINE kuona suala la MZIZE wanalimaliza vipi ikiwezekana mchezaji huyo kuongeza mkataba mpya ili waweze kumuuza kwa faida nzuri kwa pande zote..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *