DKT. TULIA AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA BIMA YA UAP
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Bima ya UAP wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Ndg. Nelson Rwihula ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 8 Aprili, 2024.