MAPOKEZI YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

0

Kikosi kazi kinachounda safu ya Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimepokelewa kwa kishindo na Wanachama, Wapenzi, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa CCM ikiwa ni ishara ya utayari wa kuungana nao katika kuwatia moyo, kuwapa hamasa na kuwaombea wakati wote ilikusudi kutekeleza majukumu yao kama ilivyokusudiwa.

Hafla fupi ya Mapokezi haya imefanyika leo tarehe 5 Aprili, 2024 Katika uwanja wa nje wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es salaam iliyopo Lumumba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *