MKURUGENZI MKUU AZANIA BANK ATUNUKIWA TUZO YA UONGOZI YA ‘TRAILBLAZER AWARD’

0

Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Esther Mang’enya tuzo ya uongozi ya “Trailblazer Award 2024” iliyotolewa na taasisi ya Tanzania Women In Finance Association (TAWIFA) katika kutambua mchango wake kama mwanamke kwenye sekta ya fedha ikiwa ni muendelezo maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani.

Tukio Hilo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *