RAIS SAMIA AMJULIA HALI MAMA WA HALIMA MDEE

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Theresia Mdee, mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *