Hii Hapa Droo Kamili Hatua ya 16 Bora AFCON 2023
Droo ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 imetoka huku wenyeji, Ivory Coast wakikutanishwa dhidi ya Mabingwa Watetezi, Senegal.
Nyota wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki na golikipa Djigui Diarra wanatarajiwa kuchuana katika hatua hiyo baada ya Mali ya Djigui Diarra kukutanishwa dhidi ya Burkina Faso ya Stephanie Aziz Ki.
DROO KAMILI
JANUARI 27
Angola vs Namibia
Nigeria vs Cameroon
JANUARI 28
Guinea ya Ikweta vs Guinea
Misri vs DR Congo
JANUARI 29
Cape Verde vs Mauritania
Senegal vs Ivory Coast
JANUARI 30
Mali vs Burkina Faso
Morocco vs Afrika Kusini