HOJA BILA USHAHIDI NI NJAMA ZA KUPOTOSHA
Maria Sarungi amekuwa akitoa madai ya kupotosha kuhusu kutekwa kwake, akidai kuwa serikali ya Tanzania imehusika.
Lakini hakuna ushahidi wowote kuthibitisha madai haya. Kwa nini anahisi salama zaidi Kenya, nchi yenye rekodi ya uvunjaji wa haki za binadamu, ukandamizaji wa waandishi wa habari, na utekaji kuliko nchi karibia zote za Afrika Mashariki? Je, kuna uhusiano wowote kati ya Maria na serikali ya Ruto inayokumbwa na changamoto za ndani?
Ukweli wa Maria unapaswa kutiliwa shaka.”