WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NCHEMBA AIPONGEZA BENKI AZANIA KWA KUWAJALI NA KUWAFIKIA WANANCHI

0

“Hili ni jambo kubwa na muhimu na mwendelezo wa mambo mazuri ambayo benki hii mmekuwa mkifanya, hongereni sana.” Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, wakati akitoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa “Bondi Yangu” ya Azania Bank.

Ameipongeza benki ya Azania kwa kuwajali na kuwafikia wananchi kwa kuonesha nia na chachu ya kuiunga mkono serikali kwa kutoa mchango katika kufanikisha mipango mbalimbali ya kimkakati haswa ushirikishwaji wa fedha katika vikundi vya wakina Mama na vijana kupitia fedha zinazopatikana kwa mauzo ya hatifungani hii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *