BENKI INAHITAJI WAFANYAKAZI BORA NA SIYO BORA WAFANYAKAZI – MKURUGENZI MTENDAJI CRDB ABDULMAJID NSEKELA

0

Mkurugenzi Mtendaji benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amesema benki hiyo inahitaji kuwa na wafanyakazi bora na siyo bora wafanyakazi

“Tunataka wafanyakazi bora ambao tutawajengea uwezo wa kuifanya CRDB iwe ni bora zaidi na wafanyakazi ambao watakuwa na ubunifu na kuifanya CRDB iendelee kuwa na upekee sokoni yenye masuala suluhishi mapya”

Nsekela ameyabainisha hayo leo Oktoba 17, 2024 jijini Dodoma wakati wakati wa kusaini mkataba baina ya CRDB Chama Cha wafanyakazi wa viwanda, biashara, Taasisi za Fedha, huduma na ushauri Tanzania (TUICO) ambapo mkataba huo unalenga kuboresha maslahi ya wafanyakazi pindi wawapo kazini na wanapostaafu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *