WADAU WAHOJI VIONGOZI WA CHADEMA KUFANYA KIKAO NYUMBANI KWA MWENYEKITI MBOWE

0

Wadau mbalimbali wamehoji kitendo cha viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya vikao vyao nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe

Wadau hao wamehoji baada ya picha kusamba ikionesha mwenyekiti huyo akiwa anaongea huku viongozi wengine wa chama hicho kuwa pembeni wakimsikiliza.

Wadau hao wamehoji kwa kusema; “Je ni sahihi kwa vikao vya CHADEMA kufanyika nyumbani kwa Mbowe?”

“Kuna Siri gani CHADEMA wanaficha hawataki kufanya vikao vya chama ofisini vinafanyika nyumbani kwa Mbowe?”

Juhudi za kuwatafuta viongozi hao ili kujua nini sababu ya wao kufanya vikao hivyo nyumbani kwa mwenyekiti na siyo ofisini kama ilivyozoelewa zinaendelea

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *