DKT. TULIA AWASILI NCHINI HUNGARY

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 6 Oktoba, 2024 amewasili Budapest nchini Hungary kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Naibu Spika wa Bunge la Hungary, Mhe. Márta Mártai.

Dkt. Tulia anatarajia kushiriki Maadhimisho ya miaka 135 ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) yatakayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 7-9 Oktoba, 2024

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *