WASANII WA TANZANIA WAACHA GUMZO KENYA

0

Kwa mujibu wa ukurasa wa @nairobi_gossip_club hii hapa list ya wasanii ambao wametazamwa zaidi katika mtandao Youtube nchini Kenya Sept 16 2023-Sept 16 2024, list hiyo ya wasanii 15 imetawaliwa zaidi na majina ya wasanii kutoka nchini Tanzania huku wakenya pekee katika list hiyo ni wasanii watatu tu.

1. #DIAMOND Milioni 127

2. #RAYVANNY Milioni 81.9
3. #HARMONIZE Milioni 78.3
4.#ZUCHU Milioni 78.1
5. #ISRAELMBONYI (Rwanda) Milioni 74.7
6. #GUARDIANSANGEL (Kenya) Milioni 61.7
7. #MBOSSO Milioni 54.2
8. #JAYMELODY Milioni 52.7
9. #MSANIIMUSICGROUP Milioni 48.6
10. #ALIKIBA Milioni 46.3
11.#CHRISBROWN Milioni 47.7
12.#AYRASTARR Milioni 43.9
13. #JUX Milioni 43.6
14.#MARIOO Milioni 42.3
15. #OTILEBROWN Milioni 41.7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *