KAULI YA ALI KAMWE KUHUSU FEITOTO

0

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka Mashabiki wa Yanga waliom-unfollow aliyekuwa Mchezaji wao Feisal Salum ‘Feitoto’ kwenye Mitandao ya Kijamii wam-follow tena maana kuja jambo kubwa linakuja upya.

“Wananchi Mliom-unfollow Feitoto naomba Mkam-follow tena … Mengine Tutazungumza Jumamosi kwenye mechi pale Aman Complex” – Alikamwe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *