DKT. TULIA ACKSON AWASILI NCHINI ABU DHABI

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 15 Septemba, 2024, amewasili nchini Abu Dhabi kwa ziara ya kikazi.

Mhe. Dkt. Tulia amepokelewa na mwenyeji wake, Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Ghobash pamoja na Maafisa Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *