MAYELE STRAIKA TISHIO BARANI AFRIKA BAADA YA KUTETEMA DHIDI YA ETHIOPIA

0

Mshambuliaji wa Pyramids FC na Timu ya Taifa ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Fiston Mayele amekuwa katika kiwango bora katika Klabu yake Pia katika Timu yake ya Taifa, Hapo jana akifunga Goli moja na kuihakikishia timu yake ya DRC ushindi wa 2-0 dhidi ya Ethiopia.

Katika michezo 7 ya mwisho aliyocheza amefunga magoli 6, magoli matano katika klabu yake ya Pyramids na Moja katika timu yake ya Taifa.

Tunakubaliana kuwa Mayele ndiye Straika bora kwa sasa Barani Afrika?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *