AZANIA BANK YAFUTURU NA WADAU ZANZIBAR

0
IMG-20250328-WA0034

Benki ya Azania kwa kutambua umuhimu wa mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni moja ya nguzo za Dini ya Kiislam,imeungana na wateja na wadau mbalimbali Zanzibar Kwa kuandaa Iftar kama sehemu ya matendo yanayopaswa kufanywa na wanajamii katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Hafla hii ya Iftar imefanyika Zanzibar na kuhudhuriwa na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh.Mgeni Hassan Juma pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wadau mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *