KATIBU MKUU KIONGOZI ZANZIBAR AIPONGEZA NIC INSURANCE

0

Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said ameipongeza NIC kwa kuendelea kutoa gawio kwa serikali na kuruhusu uwepo wa vikao vya Baraza la Wafanyakazi ambavyo ni njia pekeee inayowakutanisha watumishi na Menejimenti kujadili masuala mbalimbali kwa mustakabali wa Shirika na maslahi ya Watumishi.

Katibu Mkuu ametoa kauli hiyo katika kikao cha Baraza la 20 la  Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) mjini Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *