MUME AMKATAA MTOTO AKIDAI SIO WAKE!

0

Kwa kawaida watu wanapofikia kiwango cha kufunga ndoa huwa ni watu ambao tayari wamekaa kwa muda katika mahusiano na kuweza kufahamiana kwa kiasi fulani. Basi katika mtaa mmoja kule Mtwara nchini Tanzania alikuwepo mwanadada mmoja, Sabrina aliyekuwa ameolewa na mwanamume anayekenda kwa jina la Shirima.

Waliishi kwa furaha tele kwa muda mrefu sana bila misuguano ya hapa na pale, kila siku mume wake akitoka kazini ilikuwa lazima angemletea vizawadi, mke alipendeza sana na kunawiri kwani kila alichokitaka alikipata. Baada ya muda Sabrina alipata ujauzito na hapo ndipo furaha iliongezeka hata zaidi kwani mumewe alitamani sana kujaaliwa mtoto, ilipotimia miezi tisa, Sabrina alijifungua salama.

Shirima alipopata habari kwamba mke wake amejifungua na tena mtoto wa kiume alipatwa na furaha isiyokifani, alitoka ofisini mapema siku hiyo na kwenda kumuona mkewe na malaika huyu mgeni. Alipofika hospitalini alimkuta mkewe hana furaha kabisa, akashangaa inakuwaje kwamba kajifungua salama lakini hana furaha tena?

Alipokwenda kumtazama yule malaika alipigwa na mshangao mkubwa sana na kuanza kuzua varangati kwa mkewe na kumuita malaya kwani alisema huyo hakuwa mwanawe. Ulikuwa ni wakati mgumu sana kwake Sabrina kwani alianza hata kupokea kichapo na matusi yasiyokwisha, ilifikia kipindi ambapo Sabrina alifukuzwa na mumewe na akarejea kwao.

Aliporejea nyumbani kwao wazazi hawakumuelewa kabisa kwani hawakuwahi kuona mtoto mwenye kichwa kikubwa kiasi kile, baada ya siku kadhaa nao pia walianza kumuona kama mtu mwenye mkosi kwa jamii yao. Siku moja alipokuwa akielekea kuteka maji kisimani, alikutana na baba mmoja mtu mzima ambaye aligundua lilipo tatizo katika maisha yake.

Sabrina alimueleza matatizo aliyokuwa akipitia na yule baba akamuelekeza kwa Dr Bokko alipowahi kuponea kisukari. Sabrina japo kishingo upande alikubali agizo la yule baba, basi alifunga safari hadi kwa Dr Bokko ambapo aligundua kuwa tatizo lake lilikuwa dogo sana, alipewa dawa ambazo alitakiwa kumpa mwanawe kwa siku 15  pekee.

Zilipopita zile siku 15 kwa kweli kichwa kilirejea kawaida kama cha watoto wa rika lake na hapo Sabrina akarejea katika hali yake ya furaha, lakini akaapa kutorudi kwa mumewe kwani alimkataa wakati wa dhiki alipomhitaji zaidi. Ama kweli Dr Bokko ni sehemu ya utulivu wa moyo.

Dr Bokko wana uwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile saratani ya kibofu, ugonjwa wa moyo, vile vile wanatoa huduma kama vile kupata kazi, kusafisha nyota, kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka. Piga simu +255618536050.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *