BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ASIFU TRENI YA SGR

0

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Miachel Battle amechapisha kwenye kurasa zake binafsi za mitandao ya kijamii kuwa amefurahishwa na usafiri wa Treni ya umeme maarufu kama SGR kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma

Balozi Battle ameandika “Treni kutoka Dar hadi Dodoma. Nimepanda treni katika mabara manne na ninajivunia kusema kwamba hapa Tanzania inatoa uzoefu wa kipekee. Treni iliondoka kituoni kwa wakati sahihi,pia ukarimu na taaluma ya wafanyakazi ulikuwa wa hali ya juu”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *