Year: 2024
TANZANIA NA UINGEREZA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo...
DKT. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA USALAMA DUNIANI NA MAENDELEO YA PAMOJA
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia...
UADILIFU NI MSINGI WA USALAMA WA TANZANIA: NAIBU WAZIRI SANGU
Septemba 5, 2024 “Tuwawajibishe au kuachana na watumishi wasiokuwa waadilifu kwa kuwa sisi ndio tunaotakiwa kusimamia uadilifu lakini miongoni mwetu...
WAZIRI AWESO HUDUMA YAKUUNGANISHA MAJI IWE KWA SIKU 7
Waziri Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewasisitiza watendaji wa sekta ya maji kuacha kukaa ofisini na badala yake kwenda kutatua...
KITUO KITAPOKEA MALALAMIKO BILA MWANANCHI KUFIKA WIZARANI-PROF. KABUDI
Wizara ya Katiba na Sheria imeanzisha Kituo cha Huduma Kwa Mteja kwa Huduma za kisheria baada ya kubaini kuwa malalamiko...
WIZARA ZA MAJI NA KILIMO KUSHIRIKIANA MIRADI YA MAJI NA UMWAGILIAJI
Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo tarehe 4 Septemba 2024 jijini Dodoma na kuahidi...
DC BAHI AIPONGEZA DUWASA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Rebecca Nsemwa ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kwa kuboresha huduma...