Year: 2024
WAZIRI MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI YA MAKAA YA MAWE KUWEKEZA KATIKA UZALISHAJI WA UMEME
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amezipongeza Kampuni za uzalishaji wa makaa ya mawe kwa kuongeza uzalishaji na kuzitaka kuelekeza...
UWEKEZAJI WA SERIKALI ULETE MATOKEO CHANYA KWENYE SEKTA YAFYA NCHINI
Madaktari bingwa na Bingwa Bobezi wapatao 64 wa Mama Samia walioanza kambi mkoani humo wametakiwa kuwa chachu ya huduma bora...
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL – NINO
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya...
NAIBU WAZIRI KIGAHE ATEKELEZA ILANI YA CHAMA KWA.KUJENGA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI VIJIJINI
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini anatekeleza ilani ya Chama cha...
WAZIRI OR – TAMISEMI ATANGAZA MAJINA YA MIPAKA YA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Omar Mchengerwa ametangaza rasmi Majina...
TRUMP ANUSURIKA JARIBIO LINGINE LA MAUAJI
Mgombea wa Urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump yupo salama kufuatia jaribio jingine la mauaji lililofanyika Septemba...
MTUMBIWI WAZAMA WATU 6 HAWAJULIKANI WALIPO
Watu sita hawajulikani walipo baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka katika Kijiji cha Mwiruruma kuelekea Kitongoji cha Bulomba wilayani Bunda...
SUMAJKT KULAMBA MIRADI MINGINE YA REA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko amelipongeza Shirika la Uzalishaji Mali la JKT(SUMA JKT) kupitia SUMAJKT...