Year: 2024
MWIGULU ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA SHIRIKA LA FEDHA MAREKANI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameongoza Ujumbe wa Tanzania, katika Mkutano wa Shirika la Fedha la Kimataifa ( @the_imf ) wa...
WAZIRI SILAA ATINGA IRAMBA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) leo Oktoba 23, 2024 ameendelea na ziara...
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO – WAFUNGWA KUTUMIA NDOO KAMA CHOO HAIFAI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesisitiza Jeshi la Magereza kuzingatia na kufanyia...
MGOGORO WA UONGOZI NDANI YA CHADEMA KANDA YA KASKAZINI?
Taarifa za hivi karibuni kutoka Chadema zinaashiria mvutano wa madaraka kati ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, na...
BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE – UTETE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km...
MAMLAKA ZA MAJI NA DHAMANA YA KUFIKISHA MAJI KWA WANANCHI MIJINI
Wizara ya Maji kupitia Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini ndio zenye dhamana yakuhakikisha huduma za maji safi...
TMA YAKAMILISHA UBORESHAJI WA RADA MBILI ZA HALI YA HEWA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekabidhiwa rasmi ya rada zake mbili za hali ya hewa zilizopo Mwanza na...
NAMNA YA KUMLINDA MUME ASICHEPUKE KABISA!
Jina langu ni Halima, nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, hakika naweza kusema mimi ni miongoni mwa wanawake ambao...
WANANCHI WA HAI WAFURIKA KUPATA HUDUMA ZA KIBINGWA
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Hai Dkt. Emmanuel Minja amesema kuwa wananchi wa wilaya hiyo wamejitokeza kwa wingi...